Wakati wa Press hakuna mwandishi hata mmoja wa Morocco aliyeuliza swali kwa kocha wa simba na Che Malone,
Na sisi waandishi wa Tanzania wakati jamaa wa Berkane walipokuja tukawaacha wamalizane na wamorocco wenzao🇹🇿
Geoffrey Lea
107.9K posts
Joined April 2022
- HAKUNA njia bora ya kuaga hasa pale unapoiaga familia uliyoizoea lakini hakuna namna,Kwa Moyo Mzito napenda kuchukua Fursa hii kuushukuru Uongozi wa EFM na TVE kwa fursa ya kuwa pamoja kwa kipindi cha miaka minne iliyopita,Moyo wangu utabaki na deni kubwa kwenu🙏 THANK YOU EFM
- Simba ndio klabu ya Tanzania iliyofuzu fainali za michuano ya Afrika mara nyingi kuliko timu zote,
- Kama Stellenbosch akimtoa Zamalek,Simba ana chance kubwa ya kucheza Fainali
- From Mamelodi To Msimbazi, Pretoria To Dar es salaam, RSA🇿🇦 To TZ🇹🇿, Rushine De Reuck is a Red @betwaytanzania_
- Hata Nusu fainali,Simba ndio timu toka Tanzania ambayo imefika nusu fainali nyingi za mashindano ya CAF kuliko zote maana hakuna timu ingine toka Tanzania ina nusu fainali tatu za mashindano ya CAF, 1974,1993 & 2025, Matusi hayawezi kufuta historia iliyoandikwa
- Soap (sopu) has rinsed one right back and his substitute,wow, Anyways Wonderboy Nkane will equalise and Yanga will win on penalties,
- Replying to @Am_BlujayThey dnt know that perhaps these hommies even spoke abt it and gave a green light to each other
- Replying to @academyarenaUTDWhen we lost by 5 to Liverpool he came on and showed more marbles than the regulars
- watu wanakwambia Bora Chama kuliko Ahoua,sawa hatukatai,ila Wkt wa Chama Simba ilifika Semi Final ya mashindano ya CAF mara ngapi? U appreciate what u have in football and ignore the rest,Chama had his time,its in the past with all due respect to his legacy,this is a new Era
- Back in 2011 i interview this young ambitious kid who was training to be a refferee,today he reached out to me informing me that he has been a league ref for the past 4 seasons,God really elevates people who work hard💯🙏
- Mwaka 1993 simba alifika fainali ya kombe la caf,hayo yalikua mashindano rasmi ya CAF, Mwaka 2025 wameingia fainali ya shirikisho nayo ni mashindano Rasmi ya Caf,Poleni mnaoumizwa na ukweli kuwa Simba ndio timu pekee toka Tz yenye final appearances mbili, Tukaneni mnavyoweza👍








