user avatar
Fumbo Junior. فومبو جونيور
@FumboJunior
||CEO - Founder of FUMBO FOREST COMPANY LIMITED||Board Member of Directors of MAGAMBA INVESTMENT COMPANY LIMITED #ManchesterUnited and #Simba Die hard fan.
Tanzania
Joined December 2013
  • Pinned
    user avatar
    Ukimya ni sauti ya mtu aliechoka kujieleza
  • user avatar
    Mwanamke yeyote mzuri aliepita umri wa kuolewa na hajaolewa ujue tabia ndio inamgharimu!
  • user avatar
    Ujasiri wa kulala na Binti ambae SI mkeo kisheria unautoa wapi? Akifia hapo ghetto au lodge itakuaje?
  • user avatar
    Unaweza Daimond na haka kawimbo kabovu hivi ukaambiwa kaiba mahali 😂😂😂😂
  • user avatar
    Hivi mtu kukaa unamchokoza kigogo unakuwa na akili timamu kweli?
  • user avatar
    Wabunge hawana imani na CAG, wananchi wana imani na CAG, wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sasa 2020 ni kubandika wabunge wenye imani na CAG mchezo uishe!
  • user avatar
    Mikono inayosaidia watu ni mitakatifu kuliko midomo inayosali
  • user avatar
    Mtoto wa kike unaondoka nyumbani huna ratiba unazurura kama mwenge wa Jamhuri,unajidai,unajiamini una mdomo mkavu na kauzu kama Dagaa kisa tu uzuri wako ndio unakuvuruga! My Dear utayachosha tu maungo Yako ya uzazi,sisi wanaume hatuzeeki! Tuombe uzima!
  • user avatar
    Jamani eeh! Tumuombe Mwenyezi Mungu awahurumie wazazi wetu kama walivyotuhurumia toka tukiwa wadogo!
  • user avatar
    Nimeambiwa "wanaume wengi huoa wanawake wanaowapata sio wanaowataka" kuna ukweli humu?
  • user avatar
    Moyo wangu umeshambuliwa tena! Napoteza mshikaji wa nne mfululizo ndani ya wiki nne!
  • user avatar
    Kuingia MSIKITINI ni BURE, lakini MISIKITI ni MITUPU. Na kuingia kwenye KUMBI ZA STEREHE ni kwa MALIPO na kumbi ZINAFURIKA WATU. Hivi kungekuwa na kiingilio MISIKITINI ingekuwaje? Ni kitu cha AJABU sana! Watu wapo tayari kuununua MOTO kwa FEDHA?
  • user avatar
    Leo naenda na Bakora msikitini ,namsubir sheikh yeyote amuombee kura mgombea yeyote! Atajua hajui
  • user avatar
    Sio lazima tukafanana mawazo ila ni lazima tukubali kutokukubaliana..Acha tufanane viungo sio fikra ila tubaki wamoja. . #TaifaKwanza