Hitting rock bottom gives you an unbreakable self esteem in this life.
Lemar.
280K posts
- Ukiskia umekuwa mjinga sana kumbuka kuna mtu alichagua governor juu ya dimples.
- Ukishaamaliza series zote za kitambo hizi za sahii hata season moja mtu hamalizi.
- Girls with brains are actually one of the best partners you can have.
- Tunaongelea County na siblings home halafu mzae anasmile anadhani nimeanza kujua siasa.
- Usikuwe unaambia kila mtu what's going on in your life.
- Transition ya Thursday to Friday inakuanga swift sana,kidogo kidogo unaskia Man U wamepigwa.😂😂
- Kenya weekends watu wanakuanga wamejipanga kuliko siku za kazi.
- Leo jioni nataka zishike mpaka wahenga waniambie majina zao.
- Wikendi inadhani imeisha kumbe tulikuwa na game in hand.
- NGO ziko na majina funny funny lakini pesa inatembea huko ni noma.
- As a matter of fact Chemistry was the easiest subject in highschool.
- Sikuizi Friday inakuja tu kama teacher on duty mkipiga kelele.
- Sikuizi ukiamka kidogo hivi uanze kufikiria maisha yako usingizi inapotea hivo.

