We can NOT relent. Not mentally, physically, emotionally, logically, spiritually. We are dealing with evil way beyond human understanding. Venom in their veins, all of them! #RutoMustGo.
"Walianza kunipiga na chuma, walikuwa wananinyonga..."
Rais wa baraza la wanafunzi chuo cha KSL, Joshua Okayo, asimulia alivyotekwa na kupigwa kwa zaidi ya saa 48 kwa kushiriki maandamano ya Mswada wa Fedha wa 2024.
#SimuliziYaJoshuaOkayo@FredMuitiriri