Wheelchair zinafaa kuwekwa system Sasa,unaboeka tao hata unawezasahau uamke
Mmust high🍁
10.3K posts
DM FOR PROMOS,ADVERTS,GIGS
FITNESS TRAINER🏋️
MANCHESTER UNITED FAN🔴
INFORMATION TECHNOLOGY SPECIALIST🖥️
Joined September 2022
- Nimeangusha simu ya peddi wangu kutoka 3rd floor akaniambia nisijali alikuwa ameeka flight mode😂
- Lakini dem hana mtoto hunikalia red flag
- Na hii baridi hata Nigerian movie siweziwatch ju wataniambia "ogaa
- Mnaamua kuskip talking stage alafu mkianza kuishi pamoja unapata dem hawezilala bila kuchoma fegi
- Unaacha Dem Yako keja akilala unaamua ufike baze ya pool alafu unapata yeye ndiye chalk man
- Lakini shida ya mbuzi huwa gani,unapita karibu naye inaanza kukuangalia ni kama mnajuana
- Unashout "pombe ni tamu" ,unajua chai ya tangawizi kweli?😂
- Madem kama umenyoa na Hauna haga ,rudisha nywele uache kuleta confusion sokoni
- Ni kama Niko na shida ya macho,sioni kitu M-pesa
- Kumbe ndani ya bra Kuna mattress ndio maana huwa zinalala
- After the age of 25 you aren't single,you are unmarried
- Uchumi ni mbaya Hadi unapiga mtu ngeta anakushow atakupea pesa kesho akipata
- A broke girl can never be loyal!

