Farhan Kihamu Jr
18.1K posts
VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA | Signed under Clouds Media Group | Fa Inna Ma’al Usri Yusra Inna Ma’al Usri Yusra
- Unahitaji utulivu sana kukubali kuwa Aucho ndio Yanga na Yanga ndio Aucho.
- Mwafrika tu kutoka Cameroon anawafundisha mpira kwenye ardhi yao🙌😀
- Mohamed Hussein ambaye ni Beki wa kushoto wa Simba ana assists nyingi kuliko Kiungo yoyote wa Yanga. Ana assists nyingi kuliko Mchezaji yoyote wa eneo lolote ndani ya Yanga.
- MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha
- Aishi hakucheza, Ally Salum ameanza na Simba ameshinda. Siwezi kwenda redioni kudanganya watu, Daktari hawezi kumpa Mgonjwa sumu😀
- Inonga ni top player sana, kapigwa kiwiko kavuja damu ametibiwa kaamka kaanza kuidai penati kwa refa kwa kushinikiza mpaka Refa akaenda kwenye VAR, wakapata penati Kongo, elite mentality.
- Kuna rekodi gani nyingine imebaki ili ivunjwe na Mnyama😀
- HUYU NI GOLIKIPA? Hapana kuna namna anatudanganya sana, Diarra🙌















