user avatar
MR BEN
@Eric__Bernard
Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.
university of daresalaam
Joined October 2014
Posts
  • Pinned
    user avatar
    Mambo mengi yametokea ambayo sikuwaza kama yangetokea, nimefanya vitu ambavyo niliwahi kuapa sitokuja kufanya kamwe that's why I will never judge anyone for their choices or their mistakes. Life has no manual. We are all doing the best we can and learning a lot along the way!
  • user avatar
    Comments ziwe Fupi Fupi Sana Jamani!
  • user avatar
    Nasisitiza tena Shujaa Majaliwa akaanze Mafunzo Jamani 😂
  • user avatar
    Tuungane Kuiponya hii Nchi pamoja!
  • user avatar
    Mwamba Paul Christian Makonda Msibani kwa Mzee Malecela.
  • user avatar
    Kakosea Sana Jamaa aisee hii Mbaya sana tena sana!
  • user avatar
    Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro Joan Faith Katarahiya ambaye amesifiwa na Rais Samia Suluhu Hadharani kwa kukusanya Mapato. "Kale Kabinti Kangu Kameweza" Neno Moja kwake Tafadhali
  • user avatar
    Anayeweza Kuedit hii Picha amtoe Sakho amuweke Mayele au Aziz K tuwape furaha wenzetu!
  • user avatar
    Picha haijapigwa Bahati Mbaya hii.
  • user avatar
    Hii sio Newyork ni Dodoma station ya SGR.. 🙌🙌
  • user avatar
    Tangazo ni Kali Sana!😂
  • user avatar
    Mwana FA : "Hatumtaki Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Shirikisho tunampa masaa 48 ajiuzulu" Steve Nyerere :"Mwana FA akampe Bibi yake hayo masaa 48, kwanza Ubunge wake ni wa Kupewa tu" Ikulu : Rais amemteua Mwana FA kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Steve..
  • user avatar
    Mbeya Dj kila baada ya Dakika 20 anatoa Tangazo la kwamba anauza Mchele!
  • user avatar
    Moja ya Jamaa anafanya kazi ya uzalendo Hanang.. Huyu Hapa, Mungu ambariki sana. 🙏