Pinned
Guys let me be honest with U, nilichojifunza humu kuna watu wanajua kukatisha sana tamaa aloo dah.
Wakati flani Nilikutana na Mwanangu sana @MathiasMashaur7 katika pita pita zangu za humu, siku hiyo nilimjibu kimasikhara tu kama nilivyomjibu @Sativa255 ila jamaa haku catch









