Unadhani mnavibe kumbe ni wewe uko na kiherehere😂😂
ᗪIOᑎ ᗷETT
37.7K posts
Physical reality is in a larger sense of an illusion caused by a greater reality.
127.0.0.7
Joined May 2024
- Intellectual babes wako busy wakicheza chess na kuwatch documentaries, alafu sasa kuna huyo dem wako ako preoccupied na tiktok challenges😂😂
- Simiti nimeinhale mjengo haiwezi ruhusu homa inishike😂😂
- Mimi nayo sijawai ona difference ya tecno na hizo tusimu za Xiaomi 😂😂
- Life imekuwa hard hadi motivational speakers wanahitaji motivational speakers😂😂
- Kenya ukishikwa na masanse you are guilty until proven otherwise 😅
- Kumbe unaeza kua over 40 years na bado ukue mjinga😅😅. Resop itanionyesha mambo 😂
- Hii maisha ukiongeza mafeelings kila mahali utaathirika vibaya sana
- Dem akianza kucheka after umemkula raw inamaanisha nini?
- Mimi nayo hapo kwa kuteka madem huwa sibahatishi😂
- Ndio kuwachiliwa na foreman 😂 mko aje wadau?
- Ndio kufungua macho mko aje wangwana 😂
- Kuna morio wangu flani aliamua kuwacha shule kuulizwa mbona akasema ati watu ni racist hiyo shule😂😂


