Pinned
Wiki hii, kwa ushirikiano na Shule ya Kimataifa ya Al Muntazir, tulishiriki matembezi ya hisani ili kutoa elimu kuhusu ugonjwa wa Usonji, yaliyohudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu, Mh. Dkt. Dotto Biteko.
Tutaendelea kushirikiana na wadau wenzetu kujenga Tanzania yenye afya bora.

















