Leo niliamka mapema nikafuata giza polepole adi nikajua mahali hua inaenda, niwaambie?
Dumb Smart🧠
19.9K posts
Trying to understand everything that doesn't make sense. Reggea enthusiast
- Replying to @HonAkalSimbaThis is the information they have been sweating to hide from us but it is only about time
- Jana nguo zangu zimenyeshewa ati juu siongeleshangi neighbours, smh
- Nikifungua gym ya kupunguza forehead mtaleta madem zenu ama nifikirie bs idea ingine?
- Mimi nimechoka walai, at 22 na bado hata sina kwangu kazi ni kuishi kwa wenyewe nikihamahama 😭💔
- Yes niliwaambia huu mwaka mtaniita bosi lakini swali yangu ni, kwani nyinyi hamuwezi jiita?
- No way niko na 1200 followers na tweet ingonga like tano buana kwa mlikufa?
- Pombe itaniulia rafiki 💔 juzi karibu aende sayun akasema hatarudia,, sai ndo uyu ako apa anatapika 😂
- Replying to @amerixI have a question Doc, "Munyu" being alkaline will it not neutralise stomach acid when ingested?
- Kumbe ukiwa na mumama akuna haja ya kua na mzazi 😂
- Unapika chakula tamu adi unatoa ID kuangalia kama hua unaitwa Cynthia 🤣
- "Mama yako amesema usitembee na sisi" hii statement ilikuanga inafanya unasikia kutandika mukoro makofi.
- Unaongelesha tu waiter polepole vizuri alafu yeye anashout "Akuna ugali ya 5bob" Nkt!
- Naamka napata mabaloon kwa TL hamkuniambia ni leo nilizaliwa

