user avatar
Dkt. Doto Biteko
@DBiteko
KNK
Joined March 2017
Posts
  • user avatar
    Hongereni sana wachimbaji Mahenge, hili jiwe kubwa la Spinel limepatikana tena. JPM alisema ni wakati wenu. Asanteni sana kwa kuchapa kazi. JPM2020 #KaziIendelee#
    00:00
  • user avatar
    Hongereni sana wachimbaji wa Mererani, historia mnaendelea kuandika. Jiwe jingine zuri la kg1.05 limepatikana. Alisema anataka kuzalisha mabilionea, wanaendelea kuzalishwa kwenye sekta ya madini. #JPM 2020 KaziIendelee#
  • user avatar
    Tumenunua mitambo mitatu ya kisasa kabisa ya uchorongaji na mmojawapo ni Explorac 235 wenye uwezo wa kuchimba hadi mita 500 kwa siku. Mtambo huu ni mpya na kiteknolojia yake ni ya hali ya juu. Alisema lazima STAMICO ifufuke, imewezekana. #JPM2020 KaziIendelee#
  • user avatar
    Mimi na watangaza nia wengine 11 tumeomba kuteuliwa na chama chetu (CCM) kugombea ubunge Bukombe. Nimeiona hamasa ya vijana wengi kwenye jimbo letu. Nawapongeza wote kwa kuonyesha nia na siasa za uungwana. Wajumbe watatoa maoni yao kwa kura kati yetu sote. Nawatakia heri wote.
  • user avatar
    Nazisikia sauti zenu, enyi watu wema wa Bukombe.
  • user avatar
    Asanteni kwa ushirikiano wenu wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta ya madini. Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%. Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini.
  • user avatar
    "Mimi na wewe tumelitikisa daraja'' Sisimizi alimwambia Bwana Tembo, ambaye alivuka daraja sisimizi akiwa juu yake..
  • user avatar
    Pole sana kwa familia ya Gabriel Kandonga, pole sana familia ya ITV na Radio one kwa kuondokewa na kijana mchapa kazi na aliyeipenda sana kazi yake. Gabriel hakuwa na makuu na wakati wote alikua rafiki wa wengi. RIP Gabriel.😭
  • user avatar
    Asanteni sana kwa ushirikiano wenu enyi wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta yetu Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%. Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini
  • user avatar
    Replying to @HCPamelaO
    Pleasure is mine @HCPamela0
  • user avatar
  • user avatar
    Replying to @jumanhoTambwe
    Tambwe unakumbuka tulifanya kikao cha pamoja pale dodoma na wale wenye malalamiko ya mwaka 1996, tulikua na mheshimiwa Mbunge wa msalala. Kama hukuwepo naamini wale wazee walioteuliwa kuwakilisha walikupa mrejesho na kama bado naamini mimi au Mhe. Mbunge tunaweza kukupa mrejesho
  • user avatar