Pinned
Je unahitaji marashi yanayodumu kwenye nguo ya zaidi ya masaa 72...??
Suluhisho ni hili DOWNY yenye harufu 4 tofauti kwaajili ya kuauuzia nguo zako ndio habari ya mjini
Ipo kwenye ujazo tofauti tofauti kama
Mls 20=1,000/=
Mls300= 12,000
Mls 900(kopo)=22,000
Tupo MLANDIZI






















