Chadema Tanzania
2,301 posts
The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️
00:00- Kesho tarehe 20 Mei 2025 Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr. Rugemeleza Nshala atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, utakafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa nane mchana. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa
- Mtu mwenye ulemavu wa miguu ambaye jina lake halikufahamika mara moja alikuwa ni miongoni mwa wakazi wa mjini Sengerema waliojitokeza kuchangia fedha kusaidia shughuli za kisiasa za Chama kupitia kampeni ya #ToneTone.
- "Mhe. Hakimu kuanzia sasa mimi ndio nitakayekimbizana na hawa Mawakili wa Serikali." Mhe. @TunduALissu


















