@Neypaul01 umenifanyia jambo kubwa sana leo sina cha kulipa ila asante sana
Castojr
4,957 posts
- Replying to @prossoffDah. Kaka nilisoma kitabu kilichandikwa miaka ya 1800 uko nyuma kina zaidi ya miaka mia. Mwandishi alisistiza sana kuwa usipuuze tabia ya nyuma ya mwanamke
- Replying to @spana_Konkiwakenya hawataki tuwasaidie bora wafe . na tukiwasaidia tunatunza risiti😂😂😂
- Replying to @nyuki_malkiaIla kuna siku hao malaika mtakutana nao. Sio vizuri kufanya mzaha na kumhusisha mungu




