user avatar
𝑩𝑩𝑴  𝕏
@BarakaDavid20
| 𝑨𝒓𝒔𝒆𝒏𝒂𝒍 & 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 | 𝑩𝒂𝒃𝒂 𝑾𝒂 𝑾𝒂𝒕𝒐𝒕𝒐 𝑾𝒂𝒘𝒊𝒍𝒊 | 𝑪.𝑬.𝑶 @𝑩𝒃𝒎𝑺𝒎𝒂𝒓𝒕_𝒑𝒉𝒐𝒏𝒆𝒔 | 𝑬𝒍𝒆𝒄𝒕𝒐𝒏𝒊𝒄 𝙎𝙩𝙤𝙧𝙚 | 🛍️🛒
Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2017
Posts
  • user avatar
    Tumekua pamoja utotoni, Japo ulikuwa mtoto wa Kishua, Leo kwenye Ajali ya Ghorofa umetutoka, Pumzika kwa Amani Neema 🥹💔🕊️
  • user avatar
    CAF Champions League 1st Simba 0-3 Al Ahly Yanga 2-0 Mamelod Sundowns Mark This ✍️
  • user avatar
    Yanga kama Ulaya, Wachezaji wa Yanga wanaishi bhana 🔥
  • user avatar
    Siku ToT Bonanza wakifikia haya maujanja ya Kubwa Kuliko Mbeya ndo siku ntaanza kushiriki 🔥✍️🔥 #AllAboutMbeya
  • user avatar
    1+ Age, Happy Birthday To Me 🎂🎵
  • user avatar
    Hapo vipi 𝐖𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐡𝐢 🔰
  • user avatar
    Ila Ester Matiko ana mauno nyieeeeee! 🙄
  • user avatar
    Booonge moja la Athem kwa Young Africans, nani ameimba hii ngoma 🔥
    00:00
  • user avatar
    Clatous alizikimbia hiz Stress, Dah mpk huruma 😂
  • user avatar
    Andika Jina La Timu Kwa Kutumia Jina Lako Kama Hv. Najua Wengi Watachemka. B. Barcelona A. Arsenal R. Real Madrid A. Atletico Madrid K. Kobenhavn A. Aek Athens BARAKA ☝️
  • user avatar
    Baada ya Miaka mingi kufanya kazi ya Uwinga wa Simu Mkoani na Kariakoo Dsm’ Nina Kila Sababu ya Maelfu Ya Kumshukuru Mungu Wangu kwa kunipa Ofisi nzuri, Haikuwa Rahisi Ila Mungu Amefanya…!! 𝔹𝕓𝕞 𝕊𝕞𝕒𝕣𝕥𝕡𝕙𝕠𝕟𝕖'𝕤 Ndo Jina La Ofisi Yangu, Napatikana Kariakoo….
  • user avatar
    Nalaani Ubaguzi wa rangi aliofanyiwa Vinicius Jr, Nalaani tena kwa nguvu zote 😠🚮
  • user avatar
    Kumbe Rais wa Wapwa ni mtoto mchele mchele hivi 😂😂😂🚮
  • user avatar
    Apataye Mke mwema, Amekwisha kupata kitu chema, Thanks God for this Gif 🥰🙏