Bandari Football Club
7,714 posts
Official X account of Kenyan Premier League Club Bandari FC | IG: instagram.com/bandarifootbal… | #BandariNiYetu
- Wamelegea hivi, sio?Replying to @beingeric1 and @BandariOfficialLabda Bandari huko ndio kuna waswahili wame legea.
- Si kila mtu afanye alichozoea tu? 😀Bandari is signing everyone alafu after 6 months they start paying wages with mabuyu and achari.
- Njoo BamburiMzigo uko bandarini... Whoever is concerned with Clearing and Forwarding we are coming for our three containers. #3points
- Good morning sir, how is life in England?
- Kabla ulale, Mkumbushe Afande umpendae kwamba kesho, hatuna huruma 😅😅 Mida ni ile ile saa tisa. Watapata Taabu saana
00:00 - "Mbandari si wambaya, ni ware wamewazunguka dio wambaya". Waliskika mashabiki wa Murang'a Seal wakiongea kwa sauti za kinyonge kwelikweli 😁👇. #BandariNiYetu
- Nyayo imegeuka Shakaaahooooola! 85 | Sofapaka 0 V 2 Bandari FC
- Kila mtu alizaliwa kama shabiki wa Bandari, lakini kwa sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya, utovu wa nidhamu na matatizo ya kiakili, wengine wakaamua kushabikia vilabu vingine 😅. Yote tisa, kumi, Jumapili tunapeleka burdan Kakamega 🔥. #BandariNiYetu
- Nyama ya chui kumbe hailiki. #BandariNiYetu
- 45 | Bandari FC 2 V 0 Tusker Msaidizi wa refa ameashiria Dakika moja tu ya kuongeza. Mambo ni Mengi mda ndio kidogo. Moja Moto, moja baridi... Zegedeee 🥳
















