Pinned
How I owned my first car, and business of selling cars
Thread😂
Sasa was employed in a certain hotel, as a barista. Hapo chini kwangu jamaa wanaunda magari, na wako SAWA...so one day nilikuwa na car hire tulikuwa tumepewa ya job. Hapo rauda ya roysa Lori ikanigonga...














