user avatar
king Adady wa pili
@AdadiBadru
Dear Allah, please don’t reject my Dua because of my sins 🤲🏻
somewhere Tanzania
Joined March 2021
Posts
  • Pinned
    user avatar
    Dear ladies Mwanaume anaanza na kutamani halafu ndo akupende, akili yako, matendo yako, na tabia yako ndo itamfanya aamue kubaki na wewe au aondoke 📌
  • user avatar
  • user avatar
    Kumbe connection yenyewe ndo hiii 🤣🤣🤣🤣
  • user avatar
  • user avatar
  • user avatar
    Kumsamehe mtu ni rahisi sana lakini kumwamini Tena ni kurasa mpya
  • user avatar
    Bwana wee liwalo na liwe mimi namkabidhi moyo wanguuu tuu
  • user avatar
    Jifunze kujitaftia ili kuepukaa dharau na masimangoo
  • user avatar
    Ungeambiwa marks zako za juu kabisa za hesabu ndio miaka yako ya kuishi duniani ungeishi miaka mingapi.. Tucheke kidogo 😂😂😂
  • user avatar
    Siku nyingne tena ya kuendelea kupambana na kufikia malengo yetu. Mungu azibariki jitihada zetu za halali tutumiazo kutafta riziki zetu. Good morning 🌄🌄
  • user avatar
    Njia yoyote isiyo na vikwazo haikupeleki popote