— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu!
— Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo.
— Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)...
Na huu ni
— Anasadikika kuwa mtu mwenye akili sana duniani. Alifanya kazi Marekani katika idara nyeti za nchi hiyo, baadaye akatimkia Urusi.
— Wakati jeshi la Marekani likimuweka kwenye orodha ya watu WANTED zaidi, Putin amempokea, akamtunuku URAIA na ameahidi kumlinda kwa GHARAMA yoyote
— Novemba 14, mwaka 1995, unabaki kuwa USIKU wenye story ya KUTISHA nchini China.
— Kitendawili cha ajabu sana kilitokea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo. Beijing.
— Mkasa huu maarufu wa kusisimua, unajulikana kama BUS NO. 375.
Karibu...!👇🏽
Kichwa hiki...
— CIA, MOSSAD, na mashirika mengine ya kijasusi duniani, wote waliingia chimbo kumsaka, wakaambulia patupu kwa zaidi ya miaka 25!!!
— FBI wao wakaweka kitita cha dola milioni tano, kwa yeyote wa kukileta kichwa chake.
— Unasema OSAMA BIN LADEN ni hatari?
Bado
Yupo mwamba mmoja anaitwa ANDREW CARLSSIN....
— 2003 alivuna mamilioni ya dola kwenye biashara ya mtandao.
— Walipomuhoji, akawajibu yeye ni binadamu wa mwaka 2256, amesafiri kurudi nyakati za nyuma, hivyo hata kitu cha kutokea kesho kutwa anakijua.
— Alipoona wanamzingua
"Mtoto wetu wa miaka miwili alichezea bunduki, akamfyatua kwa bahati mbaya baba'ake na kumuua!"
Haya maelezo aliyatoa Sharon Kinne.
Mrembo ambaye alitoroka gerezani, akatafutwa kwa zaidi ya miaka hamsini sasa bila ya kupatikana.
Wamexico walimuita LA PASTOLERA. Wakimaanisha
— Hii ni filamu yenye kisa kikali mno.
— Mzigo unaitwa CRIMINAL, ni wa mwaka 2016.
— Kama hauna movie ya kutazama hivi karibuni, nipe nafasi nikusimulie kidogo inahusu nini...
— Baada ya hapo utachagua uitafute au uiache tu.
Twen'zetu!👇🏽