Huyu binti ana uchungu hadi you can feel it, usiombe mtu awe na uchungu na kinyongo na wewe hivi iwe sababu ya mahusiano ama lah. Ni kununua laana za rejarejaβ¦ Sad π
Kwa watu wangu wa karibu, wale who look up to me and those who were offended one way or another. I sincerely apologise. No Excuse. Mnisamehe.
Asante ππΎππΎππΎ
Airport nimeombwa Kibali cha kusafiri nje ya nchi. Nikasema passport si hio umeshika?. Nikaambiwa, ya mwajiriwa. It took me a βmomentβ kumwelewa. Apparently sijui kaona nini kwenye taarifa zangu zikionesha ni mtumishi wa umma π
Nilikuwa sijui watumishi bado wanahitaji vibali.
Ila hili suala la Gari kuondoka hapohapo baada ya tenguzi, natamani kueleweshwa logic behind. Kwamba Waziri mhusika akikamilishiwa safari ya mwisho inakuaa against sheria.
Natamani kuelewa. WHY?