Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema kuwa kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani Innocent Bashungwa kuzungumzia shauri lililopo mahakamani inaweza kutoa picha kwamba Serikali inatoa msukumo wa maamuzi
Hivi punde tutakuwa mubashara kutoka jijini Mwanza viwanja vya Furahisha kukuletea matangazo ya mkutano wa hadhara wa CHADEMA.
Subscribe kwenye YouTube Chaneli yetu > youtube.com/@thechanzo
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa @Sativa255 amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. Mwakabela alinusurika kuuwawa baada ya kutekwa mnamo Juni 2024.
Askofu Mameo: Tume Huru ni Kilio Katika Taifa. Agusia ‘No Reform’ ya CHADEMA: 'Kukamata watu na kuwaweka ndani hakunyamazishi malalamiko ya watu.'
Akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya
Former President Kikwete in 2012 explaining the origin of the M23 rebels in the Democratic Republic of Congo (DRC).
This took place during a press conference after the meeting of the heads of state of the Great Lakes countries, held in Kampala, Uganda, on August 8, 2012,