Pinned
FOOTY DIGGERS
335.2K posts
- Dr. Ouma anasema it is 2009 video, nani alikuwa anajua mambo ya mask in 2009?
- Na chef wa parliament muangalie side ya recipe sijapenda hiyo pilipili.
- Ruto ni wale marafiki wakisota wanauzanga vitu za nyumba.
- Nyumba yangu haina mlango ilifika 17bob lini ama ni huyu anataka kunigonga.
- Uzuri wa Sauti Sol wakipatana na Diddy so far wako na msee mmoja wa hiyo mrengo anakufia tu band.
- Replying to @_ybmorantโWe can do this the easy way ..or the hard way โ
- Hata Alliance wametoka kufanya booking saa hii tu,sijui mbona mnachelewesha pesa.....
- Na mwambie Polo Kimani kesho hatutaki kusikia vitu ka hizi anguke na askari buana
00:00








