Ukiniambia nanukia fiti nakuachia tu number so that you can Cologne me.
×͜×
45.3K posts
Born June 6
Joined February 2021
- Mimi huona ni kazi mob kuchase women, kusema tu ukweli nikiona dame hadai rada zangu mi hujitoa tu
- Ukiamka amka na asante, furahia ile uko nayo acha kuji compare .
- Nlikua nmepotea njia huko Embu nkaambiwa nsonge hapo Mbeere.
- Mathee alinipea tomatoes na dania nimsaidie kukata... after nilimada nika mshow, "mum am dan- ia"
- Mimi huona ni kazi mob kuchase women, kusema tu ukweli nikiona dame hadai rada zangu mi hujitoa tu
- Kulipa bills na pesa ya mhindi huwa feeling tamu sana.