intersectionality
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri](wingi; miingiliano ya tabaka)
- Ni neno la kiingereza lenye maana ya jinsi utambulisho tofauti (jinsia, rangi, tabaka) unavyoingiliana na kuunda aina mpya za ubaguzi.
- Mfano: Tunapaswa kuzingatia muingiliano wa tabaka ili kuelewa changamoto za mwanamke mlemavu anayeishi kwenye umaskini.
Tafsiri
[hariri]Kiswahili: muingiliano wa tabaka