Nenda kwa yaliyomo

balsa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

balsa

  1. ni aina ya mti wa msituni unaopatikana zaidi Amerika ya Kati na Kusini (hasa Ecuador), Mbao zake ni nyepesi sana.

Mfano

[hariri]
  • Balsa ni mbao nyepesi sana duniani.

Tafsiri

[hariri]