Wayne Chabre
Mandhari
| Wayne Chabre | |
| Kazi yake | Msanii wa marekani |
|---|---|
Wayne Chabre (alizaliwa 1947) ni mchonga vinyago wa Kimarekani kutoka Walla Walla, Washington.[1] Kazi zake zimeelezewa kuwa kama za kisasa na za kufurahisha.[2] Vinyago vyake vingi ni vya kazi, kama sanamu la gargoyles na cha downspouts; reli na mageti; taa, mabanda, chemchemi na mabenchi.[3]