-
Next Quote
Iwapo kila mtu atamheshimu mwenzake kama anavyojiheshimu mwenyewe tunaweza kuishi mbinguni duniani ... lakini kwanza tuwe na maarifa binafsi.
- Enock Maregesi -
Previous Quote
Migogoro inatokea kwa sababu watu wameshindwa kuheshimiana. Ukijiheshimu na ukaheshimu wengine utaacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta wakati ukiingia.
- Enock Maregesi -